Mshahara wa kuanzia NSSF

Mathematician

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2009
Posts
327
Reaction score
111
​Habari zenu wadau natumai mko vizuri. Mi naomba kujuzwa kuhusu BASIC SALARY ya kuanzia ndani ya NSSF kwa graduate wa BCOM. Please naombeni msaada wenu ASAP.​
 
Ukitaka kujua uhondo wa ngoma uingie ucheze. kapate kazi dogo mengineyo utayajua hukohuko, ukikuta sio unaanza kutafuta sehemu nyingine wakati ya daladala unapatia hapo NSSF
 
Hiyo kazi ya NSSF umepigiwa pande na nani ... ? Nisaidie na mimi kaka, huwa naishia kwenye interview ya mwisho ... Hongera lakini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…