Lady Unbreakable
Member
- Feb 20, 2013
- 33
- 6
asante sana, sijapata kazi bado.
Range yake hua ni $ 40000 - $ 120000 kwa mwaka.
Umepata kazi tayari?
Ndo nimemaliza last year, nasaka kazi bado. naona kwenye hiyo post sehemu nyingi utakuta 5years of experience.
Muwekane sawa jamanii,
Hiyo range ya mshahara ni sector ipi? Public au private au international organization?
Muuliza swali nawe ilitakiwa ujue unachouliza, maana hzo range za hiyo salary ni kama za kufikirika kwa nchi yetuu hii!
Nipo vizuri kwenye networking zaidi.IT ni pana sana, wewe upo vizuri sana katika upande gani?
Nipo vizuri kwenye networking zaidi.
kibongo bongo bonge la zali mkuuRange yake hua ni $ 13000 - $ 120000 kwa mwaka.
Umepata kazi tayari?
kibongo bongo bonge la zali mkuu