Kugeuka
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 333
- 225
Habari za usiku waanajamvi. Naomba kuuliza,kama mshahara umefungwa unaweza ukapata salary slip? Na km ukipata inakua imeandikwa nini? Maana nina jamaa yangu,alifungiwa mshahara kama miezi saba hivi,akasolve ishu yake ikaisha mshahara ukaanza kuingia.
Cha ajabu ameangalia salaryslip za miezi aliyofungiwa mshahara amekuta zipo na znaonesha mshahara wake kama ulivyo.
Na alikua amekopa bank,nako marejesho yamekatwa kama kawaida. Je,kwa anayejua,hili jambo lipo sawa?
Sent using Jamii Forums mobile app