Pgeni kazi,shukuru mungu serikali isha-Rest In Peace....tuiombee jmn
Tupo kazini 3yrs now,miez mi3 ya mwanzo up today bdo kupewa,faili langu limejaa barua za kuomba mshahara na madeni yangu mengine hadi peni zimeisha wino na miguu ina magaga kufuatilia....I'm tired..!!
PGA kazi mungu atakulipa hakuna atakaekuckiza ktk nchi hii...watu wanadai tumbo zao tu..I think u hv understood !!