K kijanamimi JF-Expert Member Joined May 29, 2015 Posts 245 Reaction score 176 Jun 16, 2015 #1 Habarini humu ndani, Ningependa kufahamu kisheria mfanyakazi wa private sector anastahili kulipwa mshahara wa kima cha chini shilingi ngapi? Na je mfanyakazi anaweza kufanya kazi miaka mitatu bila mshahara wake kupanda?
Habarini humu ndani, Ningependa kufahamu kisheria mfanyakazi wa private sector anastahili kulipwa mshahara wa kima cha chini shilingi ngapi? Na je mfanyakazi anaweza kufanya kazi miaka mitatu bila mshahara wake kupanda?