MjasiriamaliElimu
Senior Member
- Nov 21, 2013
- 116
- 69
Tgs g =1,500,000/=
Habari Wanajamvi.Naomba kujuzwa Mshahara wa wafanyakazi wa Bandarini katika kada za Bandari yaani TPA na Makontena yaani TICST kwa 'Professional&Non-Professional' natanguliza shukrani wakuu.
Usiku Mwema
Thanks wakuu atleast nimepata mwanga.
Wala ujapata mwanga majibu yote sio ya kweli.
kiwango kinachotumika ni TPGS-numbers.sasa namba inavyokuwa kubwa na mshahara unakua mkubwa.
wewe ungetaja atleast position unayotaka alafu tukutajie rank yake.kumbuka mshahara wa mtu unategemea pia muda alofanya kazi etc.

wewe ungetaja atleast position unayotaka alafu tukutajie rank yake.kumbuka mshahara wa mtu unategemea pia muda alofanya kazi etc.[/QUOjuTE]
Asante ingawa sio mimi niliyeuliza swali kwa mtu wa diploma anaanza na sh ngapi?

Nashukuru pia kwa mawazo yako.Niliposema nimepata mwanga nilicheki TGS G kwenye Sticky ya Viwango vya mshahara hapo juu kama alivyopendekeza mdau kati ya waliojibu swali langu.Ila nilitaka kujua kwa "professional na non-professional" kwa "degree holder" maana kuna mtu ameniomba ushauri lakini kuhusu hilo la ngazi ya mshahara sikuwa na uelewa.Nitashukuru sana Mkuu kama utanipatia maelezo zaidi.
Mshahara TPGS 7 ndo sh ngap boss?Wala ujapata mwanga majibu yote sio ya kweli.