Mahitaji
1/2 kg Mchele uliooshwa na kulowekwa.
1/4 kg Choroko zilizooshwa
1 cup Coconut powder
11/2 tsp Chumvi
Maelekezo
Chemsha choroko mpaka ziive, halafu bandika sufuria yako ya maji ya mchele, acha ichemke. Mimina mchele wako acha kwa muda wa dakika 5-7 kiini kiive. Unamwaga maji, ya huo mchele unabakisha kiasi tu, tia choroko, chumvi na nazi yako ambayo umeikorogo na maji kidogo, geuza geuza ili vichanganyikane vizuri. Funika vizuri ili mvuke usitoke kabisa, punguza moto uwe mdogo sana. Acha iive kwa muda wa dakika 20-25, unaweza kugeuza tena ili ishikane vizuri.
Tayari kwa kuliwa. Mimi kama mimi napenda ikiwa mseto wa nazi basi inaenda na supu. Ikiwa mseto wa bila nazi, ule uliopikwa na mafuta napendelea na mchuzi wa nazi, nyama au samaki.
kitu cha kupika then unamwaga mchuzi unatia maji huwa sipendi sana kwa kuwa kinachobaki ni makapi na utamu tu vitamini hakuna.Mahitaji

Kwa hapo sawa my dear nimekupata. Kiukweli huwa sipendi kumwaga supu maana kuna watu utakuta anapika maharage au njegere au hata nyama mpaka zinakauka halafu akiwa anaunga anaongeza maji kwa ajili ya kupata mchuzi sasa huwa nawauliza kwa nini usipike moja kwa moja na ukabakiza supu kwa ajili ya kuungia mchuzi. huwa nakosa jibu.Rubi maji unapunguza ili huo mseto usiwe maji maji sana. Na hayo maji ni ya kukochanganyia hiyo coconut power.
Kweli wewe ni mtoto wa pwani! Basi kwa mchuzi wa nazi wenye pweza, mmmh!
Pweza tena!!! Mie napita tu vitu vingine tutaishia kuharisha bureee.
Kwa ninyi wa madongo kuinama, lazima hali itakuwa hivyo. Waachieni wenyewe. Hahahaaaa!!
halafu unatupia kati kachori na chachandu pilipili