Nibozali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 572
- 1,055
Habari wakuu!
Tangu nakuwa nimekuwa nikisikia misemo kadhaa inayotumiwa na chama cha mapinduzi na misemo mojawapo ni pamoja na-
1. CCM oyyyeee
2. Kidumu chama cha mapinduzi
3. Zidumu fikira za mwenyekiti Wa chama
Salamu mamba tatu huwa inatumiwa katika vikao vya ndani kuliko vile vya wazi na kwa kuwa tangy nijiunge na chama hiki sijawahi kushiriki kikao chochote cha ndani, sina uhakika kama kweli hii kauli bado inatumiwa."zidumu fikira za mwenyekiti Wa chama" ZIDUMUUUUUUUUUUUUU"
NA Kama inatimika kwa nini itumike kama ilivyo? Na je unahisi ni nini faida na hasara ya kutukuza msemo huu hasa ukizingatia kwa mweyekiti Wa chama tuliyenaye sasa hivi? Unahisi kuna sababu ya kuendelea kutumia kauli hiyo hasa kwa Tanzania ya Leo?
Tujadili