Msemaji wa TUCTA - Mgaya uko wapi ?

Mag3

Platinum Member
Joined
May 31, 2008
Posts
13,584
Reaction score
23,929
Kikao cha Congress ya Wafanyakazi (TUCTA) kinaendelea, Mgaya uko wapi au umenyamazishwa ?
 
Ni tumailni letu kwamba hongo ya nyongeza ya mshahara kinyemela haitamnyamazisha Mgaya. Hiyo nyongeza ni asante Slaa, kwani bila Slaa kusimama fedha hazingepatikana (si Rais alishasema hakuna fedha?)
 
Ni tumailni letu kwamba hongo ya nyongeza ya mshahara kinyemela haitamnyamazisha Mgaya. Hiyo nyongeza ni asante Slaa, kwani bila Slaa kusimama fedha hazingepatikana (si Rais alishasema hakuna fedha?)

Wasiwasi wangu ni huu
Nani ni msemaji wa TUCTA ?
 
Utapata hilo jibu na yaliyomkuta baada ya uchaguzi.
Hapana Mkulu hatuwezi kusubiri hadi baada ya uchaguzi, wafanyakazi duniani wanatakiwa wawe na mshikamano bila kujali wako wapi. Kama kuna kitu tunatakiwa kukifahamu wakati ni sasa na kama inabidi tupaze sauti na kuwasilisha petition wakati ni sasa. Truly I am concerned, hawa watu wetu si wa kupuuzwa na hasa baada ya vitisho vyote vile kuanzia Raisi, Waziri, Katibu Mkuu, Mkurugenzi hadi Makamba.
 
Duuh... ngoja niitafute ile thread ya Mwl. Kichuguu inayohusiana na katiba ya Tucta na upindishaji uliofanyika kwenye vipengele!!
 
Duuh... ngoja niitafute ile thread ya Mwl. Kichuguu inayohusiana na katiba ya Tucta na upindishaji uliofanyika kwenye vipengele!!

Ha ha haaa Ukiyashangaa ya SHIBUDA utayaona na MGAYA, Nyi Ngojeni tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…