DhulRah JF-Expert Member Joined Dec 15, 2016 Posts 251 Reaction score 218 Nov 23, 2017 #1 Ndugu wana jukwaa, Naomba Mdau yeyote mwenye maelezo au uelewa wa hizo Masters programs tajwa hapo juu anipe muongozo zaid zinahusu nini na tofauti yake ikoje? Masters programs zinazotolewa CBE zipoje in academic wise?
Ndugu wana jukwaa, Naomba Mdau yeyote mwenye maelezo au uelewa wa hizo Masters programs tajwa hapo juu anipe muongozo zaid zinahusu nini na tofauti yake ikoje? Masters programs zinazotolewa CBE zipoje in academic wise?
MduduWashawasha JF-Expert Member Joined Mar 5, 2008 Posts 1,653 Reaction score 605 Nov 23, 2017 #2 www.udsm.ac.tz angalia mwenyewe
Ramesses II JF-Expert Member Joined Sep 29, 2013 Posts 4,217 Reaction score 5,908 Nov 23, 2017 #3 Masters is added value. Angalia wewe mwenyewe unataka uongezee kitu gani katika taaluma na kazi unayofanya kwa sasa.
Masters is added value. Angalia wewe mwenyewe unataka uongezee kitu gani katika taaluma na kazi unayofanya kwa sasa.
DhulRah JF-Expert Member Joined Dec 15, 2016 Posts 251 Reaction score 218 Nov 23, 2017 Thread starter #4 TsafuRD said: Masters is added value. Angalia wewe mwenyewe unataka uongezee kitu gani katika taaluma na kazi unayofanya kwa sasa. Click to expand... Bado hujanijibu vzur
TsafuRD said: Masters is added value. Angalia wewe mwenyewe unataka uongezee kitu gani katika taaluma na kazi unayofanya kwa sasa. Click to expand... Bado hujanijibu vzur
DhulRah JF-Expert Member Joined Dec 15, 2016 Posts 251 Reaction score 218 Nov 23, 2017 Thread starter #5 MduduWashawasha said: www.udsm.ac.tz angalia mwenyewe Click to expand... Ukiangalia kwenye website zao hawajaspecify what's so special kwenye hizo course
MduduWashawasha said: www.udsm.ac.tz angalia mwenyewe Click to expand... Ukiangalia kwenye website zao hawajaspecify what's so special kwenye hizo course
NetworkEngineer JF-Expert Member Joined Jun 21, 2012 Posts 1,974 Reaction score 1,210 Nov 27, 2017 #6 Pia ada iliyobandikwa katika website iko tofauti na kwenye prospectus
NetworkEngineer JF-Expert Member Joined Jun 21, 2012 Posts 1,974 Reaction score 1,210 Nov 27, 2017 #7 COICT wanazingua wameweka kozi tui hata content za hiyo kozi katika web hakuna
NetworkEngineer JF-Expert Member Joined Jun 21, 2012 Posts 1,974 Reaction score 1,210 Nov 29, 2017 #8 Hata mimi nataka kujua
DhulRah JF-Expert Member Joined Dec 15, 2016 Posts 251 Reaction score 218 Dec 12, 2017 Thread starter #9 abbaczo said: COICT wanazingua wameweka kozi tui hata content za hiyo kozi katika web hakuna Click to expand... Wanazngua kweli nimejaribu kufetch content nmekosa
abbaczo said: COICT wanazingua wameweka kozi tui hata content za hiyo kozi katika web hakuna Click to expand... Wanazngua kweli nimejaribu kufetch content nmekosa