Msaranga alluminium work

Tumsifu sam

Member
Joined
Jan 24, 2021
Posts
19
Reaction score
5
Tunatengeneza alluminium. madirisha, milango, partition na makabati, tupo DAR ES SALAAM - TEGETA. NO 0652299341
 

Attachments

  • IMG_20190924_194711_6.jpg
    147.5 KB · Views: 6
Aisee!! kazi kweli kweli,hii ndio JF ya zama hizi,ngoja niishie hapa kwenye kucomment!!
 
Tunatengeneza alluminium. madirisha, milango, partition na makabati, tupo DAR ES SALAAM - TEGETA. NO 0652299341
View attachment 1685157View attachment 1685158
Kwa kuangalia Alluminium Window inaonekana kazi zako ni nzuri. Hata hivyo ingekuwa ni vizuri kama ungeongeza picha zaidi ya kazi mbalimbali mnazofanya au mlizokwishafanya. Hii itasaidia kuvutia wateja zaid; na kwa kuongezea kwenye hili sio mbaya kama mtaweka bei ya kazi zenu. Mfano mnaweza kuanzia na bei za madirisha na milango ya Alluminium kulingana na vipimo/ukubwa/size mbalimbali.
 
Hizo Pua za Wapi Rwanda au Bujumbura?
 
Ok,Ahsante kwa ushauri wako, mkuu nimekuelewa ntakufanyia kaz ili kuboresha zaid suala la kaz
 
Ila watu jamani khaaa

Hivi Tumsifu serious Kweli hizo picha unatangaza biashara ya aluminium au unajitangaza wewe.
 
Ila watu jamani khaaa

Hivi Tumsifu serious Kweli hizo picha unatangaza biashara ya aluminium au unajitangaza wewe.
Dah,kambaku mbona picha zote zipo kwenye mazingira ya kazi za ALLUMINIUM lkn
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…