Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,996 Reaction score 189,582 Feb 21, 2021 #321 Soma uzi kwanza mkuu si ku-reply tu! PAGAN said: Corona hiyo. Click to expand...
Huyu Mimi JF-Expert Member Joined Apr 16, 2019 Posts 2,575 Reaction score 2,122 Jul 15, 2021 #322 R.I.P LYRICAL AND NATURALLY GIFTED AFRICAN. "Wengine hawapendi mteja aache, wananichekea usoni kisogoni wananicheka."
R.I.P LYRICAL AND NATURALLY GIFTED AFRICAN. "Wengine hawapendi mteja aache, wananichekea usoni kisogoni wananicheka."
Msela Wa Kitaa JF-Expert Member Joined Oct 8, 2021 Posts 2,217 Reaction score 4,276 Jan 30, 2024 #323 Obama wa Bongo said: naposimama hasimami,napochana hawachani,popote mimi ni nambari wani! by langa kileo ft chid benz 2009 rip langa Click to expand... dah RIP mwamba nimemkumbuka sana Ngoma tunaendelea kuishi nazo
Obama wa Bongo said: naposimama hasimami,napochana hawachani,popote mimi ni nambari wani! by langa kileo ft chid benz 2009 rip langa Click to expand... dah RIP mwamba nimemkumbuka sana Ngoma tunaendelea kuishi nazo
Wakipekee JF-Expert Member Joined Aug 21, 2019 Posts 6,503 Reaction score 11,327 Jan 30, 2024 #324 Msela Wa Kitaa said: dah RIP mwamba nimemkumbuka sana Ngoma tunaendelea kuishi nazo Click to expand... Lyrical And Natural Gifted Artist ... Nipo tayari kufa Kwa ajili ya hip-hop
Msela Wa Kitaa said: dah RIP mwamba nimemkumbuka sana Ngoma tunaendelea kuishi nazo Click to expand... Lyrical And Natural Gifted Artist ... Nipo tayari kufa Kwa ajili ya hip-hop
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 95,876 Reaction score 136,785 Jan 30, 2024 #325 Langa kichwani alikuwa vizuri Sema madawa nyoko sana Ova
Msela Wa Kitaa JF-Expert Member Joined Oct 8, 2021 Posts 2,217 Reaction score 4,276 Jan 30, 2024 #326 mrangi said: Langa kichwani alikuwa vizuri Sema madawa nyoko sana Ova Click to expand... yaliharibu game yake ila yeye alikufa kwa malaria
mrangi said: Langa kichwani alikuwa vizuri Sema madawa nyoko sana Ova Click to expand... yaliharibu game yake ila yeye alikufa kwa malaria
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 95,876 Reaction score 136,785 Jan 31, 2024 #327 Msela Wa Kitaa said: yaliharibu game yake ila yeye alikufa kwa malaria Click to expand... Mara ya mwisho kukutana naye ilikuwa kwa mzee kileo pale pr camp Bar kinondoni,alikuwa anapiga kazi ndg ndg kumkeap bize bize Ova
Msela Wa Kitaa said: yaliharibu game yake ila yeye alikufa kwa malaria Click to expand... Mara ya mwisho kukutana naye ilikuwa kwa mzee kileo pale pr camp Bar kinondoni,alikuwa anapiga kazi ndg ndg kumkeap bize bize Ova
Vien JF-Expert Member Joined Mar 6, 2020 Posts 8,378 Reaction score 14,876 Jan 31, 2024 #328 " Wananichekea Usoni kisogoni wananisema/ Wanatafuta mabaya wanajifanya hawaoni mema/ Moja ya line bora kutoka kwa The late Lyrical and naturally gifted in Africa (LANGA) Huyu jamaa alikua smart sana kiuandishi sema ni vile ujana huja na mambo mengi
" Wananichekea Usoni kisogoni wananisema/ Wanatafuta mabaya wanajifanya hawaoni mema/ Moja ya line bora kutoka kwa The late Lyrical and naturally gifted in Africa (LANGA) Huyu jamaa alikua smart sana kiuandishi sema ni vile ujana huja na mambo mengi
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 95,876 Reaction score 136,785 Jan 31, 2024 #329 Vesper-valens said: " Wananichekea Usoni kisogoni wananisema/ Wanatafuta mabaya wanajifanya hawaoni mema/ Moja ya line bora kutoka kwa The late Lyrical and naturally gifted in Africa (LANGA) Huyu jamaa alikua smart sana kiuandishi sema ni vile ujana huja na mambo mengi Click to expand... Lyrical genius Ova
Vesper-valens said: " Wananichekea Usoni kisogoni wananisema/ Wanatafuta mabaya wanajifanya hawaoni mema/ Moja ya line bora kutoka kwa The late Lyrical and naturally gifted in Africa (LANGA) Huyu jamaa alikua smart sana kiuandishi sema ni vile ujana huja na mambo mengi Click to expand... Lyrical genius Ova