EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,177 Reaction score 25,512 Feb 22, 2016 #1 Habari wana jf! Huyu ni msanii wa hapa hapa nchini Caroli Kinasha japo si msanii maarufu ila nyimbo zake nazikubali sana. Kwa aliye na wimbo uitwao 'Ni Pendo' wa Caroli Kinasha anisaidie.
Habari wana jf! Huyu ni msanii wa hapa hapa nchini Caroli Kinasha japo si msanii maarufu ila nyimbo zake nazikubali sana. Kwa aliye na wimbo uitwao 'Ni Pendo' wa Caroli Kinasha anisaidie.
Nyaka-One JF-Expert Member Joined Oct 27, 2013 Posts 4,887 Reaction score 7,033 Feb 25, 2016 #2 EMMYGUY said: Habari wana jf! Huyu ni msanii wa hapa hapa nchini Caroli Kinasha japo si msanii maarufu ila nyimbo zake nazikubali sana. Kwa aliye na wimbo uitwao 'Ni Pendo' wa Caroli Kinasha anisaidie. Click to expand... Jina ni Carola Kinasha. Mmasai wa Tanzania. Huo wimbo upo youtube
EMMYGUY said: Habari wana jf! Huyu ni msanii wa hapa hapa nchini Caroli Kinasha japo si msanii maarufu ila nyimbo zake nazikubali sana. Kwa aliye na wimbo uitwao 'Ni Pendo' wa Caroli Kinasha anisaidie. Click to expand... Jina ni Carola Kinasha. Mmasai wa Tanzania. Huo wimbo upo youtube
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,177 Reaction score 25,512 Feb 25, 2016 Thread starter #3 Nyaka-One said: Jina ni Carola Kinasha. Mmasai wa Tanzania. Huo wimbo upo youtube Click to expand... Mkuu, nimeangaza pote hadi youtube lakini siupati, hebu nisaidie hata linki ili niupate. Utakuwa umenisaidia sana Mkuu.
Nyaka-One said: Jina ni Carola Kinasha. Mmasai wa Tanzania. Huo wimbo upo youtube Click to expand... Mkuu, nimeangaza pote hadi youtube lakini siupati, hebu nisaidie hata linki ili niupate. Utakuwa umenisaidia sana Mkuu.
J jopss JF-Expert Member Joined Jul 28, 2015 Posts 297 Reaction score 454 Feb 25, 2016 #5 Nenda MySpace. Com search for carola kinasha kwenye tab ya songs utaukuta