KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,079
- 40,703
Mke ambaye si halali kwako huna hata haki ya kumzika, msiba unakuwa kwao na wanazika kwao wewe unakwenda kama muombolezaji tu
Hiki ni kipindi cha aibu sana humkuta mwanaume mbele ya rafiki zake ambao mwanzoni walijuwa hawa ni mke na mume halali.
Huo ni mfano mmoja tu kati ya mingi ya kuhalalisha ndoa, mambo mengine ni kama beneficiary wanandoa upande wa makazini na kwenye bima za afya.
Mfano hai mimi natumia zaidi bima ya afya ya kutoka ofisi ya wife kuliko ya kutoka ofisini kwangu, wao ya kwao mpaka Agha khan is accepted.
Kwa uchache hayo ni baadhi ya mambo yanayosababisha watu kuoa wake zao.
Mkuu ulitaka aifungie kiwira???? Popote shughuli hufanyika ili mradi mazingira yanaruhusuMnyambala ameniabisha,kwanini asingempeleka mtoto Tukuyu/Kyela kufunga nae ndoa ya kimila?yaani kaenda kufanyia sherehe ukweni..aahaa malafyale
Yule alkua mrembo sana sijui ilikuwaje aiseRoooooooho yaaumiiiia iam missing my baby iiiiiih[emoji445] [emoji344] imakuwa VP tena[emoji144]
Inapatikana pale colgate udzmEnginiaring
[emoji23] [emoji23] master ya enginiaring nadhani iko Rwanda tu.Enginiaring
Hahhaha hii huwa iko wazi sana hapo na mimba anaweza akatoka nayo huko huko ya mtoto wa kwanzaWanyarwanda wanahulka ya kumiliki[emoji41]
Ok, tufanye amekosea spelling, hivi kwa uelewa wako ukisikia Engineering unaelewa nini?[emoji23] [emoji23] master ya enginiaring nadhani iko Rwanda tu.
Jamaa washamteka huyo...anapangiwa ndoa ifungwe wapi na tena kwa mila za kinyarwanda....ni upuuzi[/QUOTE. Huwezi jua labda AY hapo bongo hana wazazi
sasa mbn mkuu unatukana tena?!!Wanawake wa bongo endeleen kufuga makucha kama jini, endelea kukuza makalio na kusuka mawigi waume zenu bado hawajazaliwa na mtakuja kuolewa na wajukuu zenu
Nywanoko benywe
LONDON BOY
Wanyarwanda wanatukuza kwao sana na asipokuwa makini atazas na warwanda wenzio, mke ataaga kwenda kusalimia kumbe anaenda kupokea mbegu.Mnyambala ameniabisha,kwanini asingempeleka mtoto Tukuyu/Kyela kufunga nae ndoa ya kimila?yaani kaenda kufanyia sherehe ukweni..aahaa malafyale
Kwanini isiwe ni anko Magu kapeleka shushushu lake huko?Huyo ni Mnyarwanda Kagame anazidi kupenyeza mashushu wake Tanzania..
Sio za kiislamu tu, hata za kiafrika kama wasukuma na Karibia yote ni hivyo tu.Ndoa zote za kiislamu zinafungiwa ukweni acha kujitoa akili.
tutakuwa tunashare common sense waafrika tupo enslaved sana sio huko tu kila nyanjaWewe ni mtumwa wa wakoloni, ndoa za kimila ndio sahihi na ndio ndoa zetu Waafrika.
Ni mentality slave tu inakusumbuwa.
Umepata riziki mzee? Maana njaa hukata mishipa ya fahamu.Wewe ni mtumwa wa wakoloni, ndoa za kimila ndio sahihi na ndio ndoa zetu Waafrika.
Ni mentality slave tu inakusumbuwa.