Msamaha

Mm huwa naomba msamaha na uzuri wa kuomba msamaha ni mtu asirudie hilo kosa ila sio kila siku unaombwa msamaha kwa kosa hilohilo.
Hujawahi kuniomba msamaha hata siku moja na jana tu ulikosea...
 
Kuliko aombe msamaha asubuhi then jioni arudie bora asiombe tu!!
Wanaume ni wazito kuomba radhi ila ukimbamba na anakujua huna dogo ataomba tu hata kama kimoyo moyo anakung'ong'a!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…