Mim huwa naomba msamaha mpaka nalamba miguu ya baby wangu hata kama kosa ni lake msamaha ntaomba mimi mwee! mwee! mapenz haga manofu.

hahahaha!ni shidaaah...
Katika pita pita zangu Leo nimekutana na kundi la watu wa kike na wakiume wakibishana baadhi ya upande wa kike wamelalamika kuwa wanaume wengi huwa ni wagumu kusema neno samahani au naomba unisamehe hata kama kafanya yy kosa kuomba samahan ni shughuli mmh huku wanaume wanadai wanawake ndio wagumu kuomba msamaha, niliishia kuwasikiliza tu ckuwa na Mimi majibu zaidi niliona bora nipate na Mimi maoni yenu kwenye hili jamvi......! Asante
na ukigeuziwa kulaleki huwa kinakuzwa saaaana ili kiue kile chako!asilimia kubwa ya wanaume ni wagumu kuomba msamaha!!!na ukifanya masikhara kibao unageuziwa wewe mwe:shocked: