SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,081
- 75,445
Wapotezwe tu wamezidi.Watanzania hawa wazee wametukana na Musiba kosa lao ni kulalamika?Mie nilidhani wanaccm wangejiuliza kwanini Musiba kawatukana? Mbona aliyetukana hasemwi wanasemwa waliotukanwa?
Acha mara moja kumchezea Mungu baba muumba wa mbingu na nchi. Ingekuwa nyakati zile ambazo Mungu anatoa adhabu papohapo inawezekana domo lingeenda pembeni au ungekufa hapohapo kama ilivyokuwa kwa herode.!Mh Joseph Pombe Magufuli mutu ya watu umefanya mambo mengi sana ambayo mengine hata halaiki ilishindwa kuamini kama ungeweza kuyafanya.
Hayo yote sio rahisi kuyafanya, bali ni kwa hekima na huruma uliyonayo ambayo inaongozwa na roho wa Mungu. Wapo watu wanabeza hatua ulizochukua. Binafsi naungana na wewe.
- Umewasamehe babu seya na wenzake
- Umewasamehe askari waliohusika kutorosha dhahabu
- Umesamehe mahabusu zaid ya mia nne waliokuwa magerezani
- Umemrudisha kazini mkurugenzi wa TPDC ambaye alishafanyiwa figusu na hayupo kazini kwa miak mitatu sasa
OMBI LANGU KWAKO
Naomba kwa hekima zilizokuongoza kufanya hayo yote. Pia roho wa Mungu aendelee kukuongoza kuwasehe hawa vikongwe wetu wa chama cha mapinduzi. Kwa kuwa wamekengeuka tu. Walisahau kuwa wao hawapo tena kwenye dola. Pengine walizoea kuwaendesha waliopita wakadhani remote bado wanayo kumbe uliondoka nayo pamoja na moto wa kuwabatiza. wasemehe tu wala wasichukuliwe hatua. kwa hatua ulizozichukua kuwanyang'anya mali za ccm ambazo walijimirikisha zinatosha sana. Yangu ni hayo tu.
Kwa nini pia usijiongeze kufikiri mbona NEPI alimtukana Lowassa na hakuchukuliwa hatua yoyote? Nani alimtuma?Watanzania hawa wazee wametukana na Musiba kosa lao ni kulalamika?Mie nilidhani wanaccm wangejiuliza kwanini Musiba kawatukana? Mbona aliyetukana hasemwi wanasemwa waliotukanwa?
Mh Joseph Pombe Magufuli mutu ya watu umefanya mambo mengi sana ambayo mengine hata halaiki ilishindwa kuamini kama ungeweza kuyafanya.
Hayo yote sio rahisi kuyafanya, bali ni kwa hekima na huruma uliyonayo ambayo inaongozwa na roho wa Mungu. Wapo watu wanabeza hatua ulizochukua. Binafsi naungana na wewe.
- Umewasamehe babu seya na wenzake
- Umewasamehe askari waliohusika kutorosha dhahabu
- Umesamehe mahabusu zaid ya mia nne waliokuwa magerezani
- Umemrudisha kazini mkurugenzi wa TPDC ambaye alishafanyiwa figusu na hayupo kazini kwa miak mitatu sasa
OMBI LANGU KWAKO
Naomba kwa hekima zilizokuongoza kufanya hayo yote. Pia roho wa Mungu aendelee kukuongoza kuwasehe hawa vikongwe wetu wa chama cha mapinduzi. Kwa kuwa wamekengeuka tu. Walisahau kuwa wao hawapo tena kwenye dola. Pengine walizoea kuwaendesha waliopita wakadhani remote bado wanayo kumbe uliondoka nayo pamoja na moto wa kuwabatiza. wasemehe tu wala wasichukuliwe hatua. kwa hatua ulizozichukua kuwanyang'anya mali za ccm ambazo walijimirikisha zinatosha sana. Yangu ni hayo tu.
Chochea chocheaHakuna msamaha kwa wahaini,haiwezekani wamkwamishe Rais wetu halafu waachwe hivi hivi. Chinjilia baharini wahaini wote.
Mpaka yabaki majivu tu hapo LumumbaChochea chochea
Musiba ongeza mzigo kuni zipo za kutosha hukuWatanzania hawa wazee wametukana na Musiba kosa lao ni kulalamika?Mie nilidhani wanaccm wangejiuliza kwanini Musiba kawatukana? Mbona aliyetukana hasemwi wanasemwa waliotukanwa?
Mdogo wangu, kuzaliwa wa kwanza kuna baraka zake na pia ni ushahidi wa kuona mengi. kwa uelewa wako finyu unaona nimekosea. lakini mm sio mwalimu wa kiswahili kama wewe. nahaisi unatafuta credit C ili ujiendeleze. sisi tumeshavuka huko. Labda nikupe elimu usije ukaumbuka tena. Lafudhi za kiswahili zinatofautiana kulingana na Geographica area na makabila mbalimbali hivyo huwezi kumwambia mmakonde hajasome kwa kuwa mchicha anasema nchicha. hizo ni athari za kimazingira. Wakurya hawan "L" WANA "R". Hivyo nashauri ujitahdi kupata hizo Credit za Olevel ujiendeleze kielimuUnaongea nini wewe?jifunze kuandika ndio uje uchangie mambo ya nchi,NAKUSAHIHISHA.SIO WALAKA.UNATAKIWA UANDIKE NI WARAKA.SAWA WEWE MTOTO?HAYA NENDA KACHEZE NA WATOTO WENZAKO