MITOCHONDRIA
Senior Member
- Feb 21, 2013
- 147
- 34
Hakuna msamaha kwa wahaini,haiwezekani wamkwamishe Rais wetu halafu waachwe hivi hivi. Chinjilia baharini wahaini wote.
I think I have to re-born; hizi tafsiri mpya mpya za vijana wa sasa zinanishinda, hivi kutokukubaliana na maamuzi ya raisi katika mambo yake au utendaji wake ni UHAINI!? Nadhani naishi dunia nyingine kabisa kama sio Tanzania nyingine. Kumbe hata boss wangu nae nisipokubaliana nae hata kwenye mazungumzo ya simu nako ni kukaidi maamuzi ya boss!? Uncle Tom sijui bado yupo hai, maanake wale ndio walitakaga kufanya uhaini, hu uhaini wa sasa hivi cheche kabisa.Hakuna msamaha kwa wahaini,haiwezekani wamkwamishe Rais wetu halafu waachwe hivi hivi. Chinjilia baharini wahaini wote.
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yenye silaha awaogope hao wahaini?Hata hivyo hawataweza kushtakiwa! Anawaogopa kama ukoma!😂
Hiyo mbona walishasamehewa? Wametulia tu saivi mambo yaendelee.Mh Joseph Pombe Magufuli mutu ya watu umefanya mambo mengi sana ambayo mengine hata halaiki ilishindwa kuamini kama ungeweza kuyafanya.
Hayo yote sio rahisi kuyafanya, bali ni kwa hekima na huruma uliyonayo ambayo inaongozwa na roho wa Mungu. Wapo watu wanabeza hatua ulizochukua. Binafsi naungana na wewe.
- Umewasamehe babu seya na wenzake
- Umewasamehe askari waliohusika kutorosha dhahabu
- Umesamehe mahabusu zaid ya mia nne waliokuwa magerezani
- Umemrudisha kazini mkurugenzi wa TPDC ambaye alishafanyiwa figusu na hayupo kazini kwa miak mitatu sasa
OMBI LANGU KWAKO
Naomba kwa hekima zilizokuongoza kufanya hayo yote. Pia roho wa Mungu aendelee kukuongoza kuwasehe hawa vikongwe wetu wa chama cha mapinduzi. Kwa kuwa wamekengeuka tu. Walisahau kuwa wao hawapo tena kwenye dola. Pengine walizoea kuwaendesha waliopita wakadhani remote bado wanayo kumbe uliondoka nayo pamoja na moto wa kuwabatiza. wasemehe tu wala wasichukuliwe hatua. kwa hatua ulizozichukua kuwanyang'anya mali za ccm ambazo walijimirikisha zinatosha sana. Yangu ni hayo tu.
Unaelewa maana ya uhaini?Hakuna msamaha kwa wahaini,haiwezekani wamkwamishe Rais wetu halafu waachwe hivi hivi. Chinjilia baharini wahaini wote.
Hapo hagusi, si utaona..!?😂Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yenye silaha awaogope hao wahaini?
Watanzania hawa wazee wametukana na Musiba kosa lao ni kulalamika?Mie nilidhani wanaccm wangejiuliza kwanini Musiba kawatukana? Mbona aliyetukana hasemwi wanasemwa waliotukanwa?Hakuna msamaha kwa wahaini,haiwezekani wamkwamishe Rais wetu halafu waachwe hivi hivi. Chinjilia baharini wahaini wote.
Watoswe tu haiwezekani wamsumbue Rais wetu kipenzi. Mzee baba hakuna kutoa msamaha hapa, piga chini wote wasumbufu hata marais wastaafu kama wanawashwa washwa piga chini kureeee.Kweni hawa mnaowaita wahain wa CCM & kina Babu Seya, Mahabusu wa kesi za ajabu ajabu, wafungwa waliowahi kuhukumiwa kwa kuua na wakasamehewa ni nani mbaya au hatari zaidi kama watumishi hewa ambao hadi leo wanaosota mtaani na hawastahili msamaha wake?
Tulia mkuu wacha wanyooshwe.Unaelewa maana ya uhaini?