Timu iliyosajili wachezaji kwa sh. 2 bil na kutoa mishahara ya 10mil kwa mchezaji inachezaje ligi moja Na timu iliyofanya usajili wa 50mil na mishara ya sh. 200,000 kwa wachezaji?Na ndio maana mpira wetu hausongi mbele wachezaji wengi wenye uwezo hawapewi fursa ya kucheza
Hata nyie mliwahi kumsajili Paul Nonga wakati ule.Mkamsotesha benchi baadae akatoka kwa mkopo kabla ya kusajiliwa moja kwa moja.Ziko timu ambazo zinanunua kila mchezaji anaewafunga au kuwasumbua kwenye kila mechi. Wanatumia hela zao kuzoofisha timu ndogo kwenye ligi na kuidhoofisha ligi pia. Timu kama hizi zinanunua ubingwa badala ya kushinda uBingwa.
Zinakuwa na wachezaji wengi wazuri ambao wanakaa bench badala ya kuweko uwanjani kuichangamsha ligi. Hii inaifanya ligi ikose mvuto. Hii inasababisha hata watizamaji wapungue uwanjani, hawatati kuona mechi zisizokuwa na ushindani, wachezaji wote wazuri wamenunuliwa na kuwekwa nje ya uwanjani au wanacheza dk 10 tu. Umaskini wa wachezaji wetu unawafanya wakubali kwenda kuwekwa benchi au kuingizwa uwanjani dk za majeruhi kila mec
Vodacom na TFF kwanini hili hamlioni?
Mkumbushe mtoa hoja kwamba Kaseke alipitia Yanga kabla ya kwenda Singida.Kwa mfano muangalie Kaseke wa mbeya city na huyu aliyepo sasa
Acha kupindisha maneno,kila anaewafunga mnamsajili kwani uongo? unadhani sifa ya umbumbumbu imekuja vipi?Hata nyie mliwahi kumsajili Paul Nonga wakati ule.Mkamsotesha benchi baadae akatoka kwa mkopo kabla ya kusajiliwa moja kwa moja.
Kweli waswahili hawakukosea kusema "nyani haoni kundule"
Kwa faida yako,mbinu hiyo ilikuwa inatumiwa sana na Bin Kleb wakati huo mna vijisenti...!
Pia, Nonga hayupo kwenye plan za Simba.
Mkumbushe mtoa hoja kwamba Kaseke alipitia Yanga kabla ya kwenda Singida.[/Q
Baada ya Yanga kuona Kasembe anaweza kuwa na hatari ya kukaa benchi ikaona bora imuachie aende akacheze mpira badala ya kukaa nje ya uwanja kama vile Simba inavyomfanyia mtoto wa watu Mo Ibrahim.Mkumbushe mtoa hoja kwamba Kaseke alipitia Yanga kabla ya kwenda Singida.
Hiyo iko duniani kote mkuu angalia usajili wa Mancity na West Brom au PSG na Lille au Real Madrid na LevanteTimu iliyosajili wachezaji kwa sh. 2 bil na kutoa mishahara ya 10mil kwa mchezaji inachezaje ligi moja Na timu iliyofanya usajili wa 50mil na mishara ya sh. 200,000 kwa wachezaji?
Duniani kuna ukomo wa matumizi ya fedha za kusajili kikosi kwenye ligi na 'TFF' zina formula za Kuzipatia pesa hata timu ndogo kwenye ligiHiyo iko duniani kote mkuu angalia usajili wa Mancity na West Brom au PSG na Lille au Real Madrid na Levante
Cha ajabu ndiye golikipa aliyefungwa mabao machache zaidi katika ligi hii kulinganisha na mechi alizocheza zote 17Magoli ya Mwadui yameonyesha pale golini hakuna keeper, ni boya tu. Azam walishaliona hilo kitambo.
Kweli watu tunatofautiana upeo wa kufikiri. Yaani Vodacom na TFF waichagulie timu wachezaji wa kusajili?Ziko timu ambazo zinanunua kila mchezaji anaewafunga au kuwasumbua kwenye kila mechi. ....
Vodacom na TFF kwanini hili hamlioni?
Kweli una vitu vingi sana huvijui kwenye soccer. PSG ilipokuwa inamsajili Nymar kwa bei ile walikumbana na challenge gani? Uwiano lazima uwepo kwenye usajili na gharama kwa timu zinazoshiriki kwenye ligi moja ili kuwe Na ushindani wa hakiKweli watu tunatofautiana upeo wa kufikiri. Yaani Vodacom na TFF waichagulie timu wachezaji wa kusajili?
Acha kupindisha maneno,kila anaewafunga mnamsajili kwani uongo? unadhani sifa ya umbumbumbu imekuja vipi?