Ni athari za lugha ya mama (Kikurya/Kihaya/Kikerewe) katika lugha ya pili (Kiswahili). Hata mtu asome namna gani inakuwa shida kweli kuepukana na makosa hayo" r na l zinachanganywa na irabu zinawekwa zisipotakiwa na kuondolewa zinapotakiwa..
Kunilaumu inakuwa kunirahumu...n.k