wambagusta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 2,840
- 2,332
Kweli mkuu hapo bado anamkubali huyo manzi na kumuwaza sana ndo inapelekea kumuota.Hayo ni mawazo yako tu bro yanakutesaa Wala hujachawiwaa penginee kidizainii ilee unamkubalii kwanamnaa yeyotee vilee unavyoo muwazawazaa hupelekeaa hizo ndotoo
unajua kuwa unafanya uzinzi, you are in devil kingdom,Wakuu naombeni ushauri nimeota ndoto kama mara mbili zinanitokea point namuota x wangu ananililia na kuniarahumu kwanini nimemuacha zinanitokea baada ya mimi kuwa na mahusiano na binti mwingine na kabla ya mahusiano mapya na huyu binti nirimuomba nakumuomba tuyasahau ya nyuma alikataa ila nikitaka tuonane kwa story alikubari lakin mapenzi basi baada ya kuchafua hivyo nikajiongeza kuchukua binti mwingine na mawasiriano kwake nimekata na namba yake ya simu nimefuta kwa sababu siitaji nipoteza mda kwake na sitaki nimfosi maana sijui mungu anaepusha nini kwangu na kwake lakin tatizo ndoto zinanirudia rudia sijui zinamaanisha nini .angarizo samahanini kwa mwandiko wangu kama nimekosea kuzipangiria herufi vizuri
Asante mkuu nitazingatia hilo nisamehe pia kwa mwandiko wangu nashindwaga kutofautishaga R LWanaume tunafeli wapi? Kweli Wanaume wa Dar tunazidi kwa kasi sana, piga goti muulize Mungu jibu pekee tosha.
Amna mkuu nami pia Nina hofu ya mungu .pia mkuu unisamehe kwa muandiko wanguunajua kuwa unafanya uzinzi, you are in devil kingdom,
Mkuu asante pia unisamehe kwa mwandiko wangu ni kweli nishindwa kutofautishaga R L Nina changa moto nyingi nashindwaga kupost kwa sababu la ilo sorry I'm very sorry mkuuMi mtu aneweka r badala ya l huwa sijui namuonaje
Inawezekana ni kweli mkuu big up sana kwa kuliona ilo maana nilimpenda sana saluteHayo ni mawazo yako tu bro yanakutesaa Wala hujachawiwaa penginee kidizainii ilee unamkubalii kwanamnaa yeyotee vilee unavyoo muwazawazaa hupelekeaa hizo ndotoo
Ilo tatizo ni kweli nashindwaga kutofautishaga R LTata Mura Naona Matumizi Ya r Mkuu
Pouwaa mkuu pia asante kwa kuniambia niachane na hizo ndoto niwe na juhudi za kujenga taifa na kujifunza kuandika vizuri Kiswahili big up mkuuAisee, hbr yote hii nimeona nukta moja tu...kwa sasa achana na ndoto hebu jifunze kuandika mkuu!
Ni athari za lugha ya mama (Kikurya/Kihaya/Kikerewe) katika lugha ya pili (Kiswahili). Hata mtu asome namna gani inakuwa shida kweli kuepukana na makosa hayo" r na l zinachanganywa na irabu zinawekwa zisipotakiwa na kuondolewa zinapotakiwa..Mi mtu aneweka r badala ya l huwa sijui namuonaje
Mkuu usishangae ila asante kwakuchangiaKunirahumu...?
Duh !!!