ndugu memory card yangu ilikuwa na password na mi sizijui na sasa nikiweka katika simu kwa ajili ya kutumia haikubali bali naambiwa niingize password nifanye nini kwani kuna vitu muhimu ndani yake niko tayari kugharamia mwenye uwezo anisaidie niko dar