Mandla Jr.
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 3,098
- 631
Ninavyojua mimi Makamu wa Rais ni kiongozi Mkubwa sana ina maana polisi au serikali ilikuwa haijui kuwa Msafara wa Makamu wa Rais SUK atapita hapo! Mbona barabara zinafungwa Mkuu tu wa Mkoa anapopita eneo flani na msafara wake kusindikizwa na vingora mbele na Nyuma? Jamani Tuzindukeni sasa Watanzania CCM inatupeleka kuzimu kwa hizi double standard zao!

Pole zao! Kwa hiyo Maalim Seif yupo SAWA SAWAAAAAAA.
Poeni wapiganaji, tunawaombea kwa mungu mupone ili muendelee na kazi nzuri ya kuendeleza taifa
Hivi wanapigania nini??
MAALIM SEIF APATA AJALI: Makamu wa 1 wa Rais Z'bar, Maalim Seif S. Hamad anusurika kifo leo mchana baada ya msafara wake kupata ajali eneo la Misungwi, Mwanza.
Watanzania, hivi mnajua maana ya KUNUSURIKA KIFO?
Alikuwa anaenda wapi kwenye nchi nyingine