Mwanachama akiwa na bango linalosema SAY NO TO TBC.ikumbukwe kuwa kamati kuu ya chama ilishatangaza mgogoro na TBC.
Umati wa wanachama wakiwa makao makuu
Hiyo t-shirt na cap ya M4C ziko kileo kabisa...kwa nini CDM wasitengeneze za kutosha zikauzwa kwenye baadhi ya maduka???
Nimeona Brand House (posta) wanauza gwanda za ukweli kwa 200k, ingawa si mwanaCDM nataka nioke na moja
Arachuga tunaombeni picha jamani
Wakishinda wao"Haki imetendeka, Wakishindwa, Mahakama haitendi haki"
Roho iume kwa chama chenye wabunge 24, tena wabunge wenyewe ni nyuki wa mashineni, (Kuuma hawaumi, wala hawatengenezi asali) kazi yao ni kupiga kelele tu?????????Ndiyo manake mkuu kama unabisha kamuulize JK. Hapo roho inakuumaje kwa ushindi wa Lema? Nenda Kajiuwe tu mkuu.
Wakishinda wao"Haki imetendeka, Wakishindwa, Mahakama haitendi haki"
Wakishinda wao"Haki imetendeka, Wakishindwa, Mahakama haitendi haki"