Kaitampunu JF-Expert Member Joined Nov 24, 2011 Posts 2,450 Reaction score 1,361 Jul 12, 2014 #41 MPIGA ZEZE said: Mbwembwe zote hizo ni 4.8 km. Jamani wabongo wakati mwingine let's pretend to be serious🙁 Click to expand... Sijui kwa hili kama wanakuelewa.
MPIGA ZEZE said: Mbwembwe zote hizo ni 4.8 km. Jamani wabongo wakati mwingine let's pretend to be serious🙁 Click to expand... Sijui kwa hili kama wanakuelewa.
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 143,036 Reaction score 288,393 Jul 12, 2014 #42 Kibanga Ampiga Mkoloni said: Naona Ukistaajabu ya LIFT MBEYA, Utaona ya TAAA DODOMA. Click to expand... ASANTE MKUU kWA KUTUONYESHA KIPARA KATIKATI YA MATAA MAPYA !
Kibanga Ampiga Mkoloni said: Naona Ukistaajabu ya LIFT MBEYA, Utaona ya TAAA DODOMA. Click to expand... ASANTE MKUU kWA KUTUONYESHA KIPARA KATIKATI YA MATAA MAPYA !
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 143,036 Reaction score 288,393 Jul 12, 2014 #43 MSALANI said: Poleni sana majeruhi, Mwenyezi mungu awafanyie wepesi! Click to expand... kumshirikisha MUNGU KWA WATU KAMA HAWA NI SAWA NA KUPOTEZA MUDA .
MSALANI said: Poleni sana majeruhi, Mwenyezi mungu awafanyie wepesi! Click to expand... kumshirikisha MUNGU KWA WATU KAMA HAWA NI SAWA NA KUPOTEZA MUDA .
A allanmedi Member Joined Mar 31, 2014 Posts 48 Reaction score 12 Jul 12, 2014 #44 Polee xana mheshimiwa
B bcsolution JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 394 Reaction score 177 Jul 12, 2014 #45 Duh poleni...haya magari ya kisasa boya kweli...hapo hamna cha airbag wala babake airbag..
L Lyong'o Member Joined Oct 1, 2013 Posts 68 Reaction score 33 Jul 12, 2014 #46 Kamanda Magufuli na timu yako poleni sana!
MUSSA ALLAN JF-Expert Member Joined Oct 13, 2013 Posts 18,925 Reaction score 13,280 Jul 12, 2014 #47 Erythrocyte said: kumshirikisha MUNGU KWA WATU KAMA HAWA NI SAWA NA KUPOTEZA MUDA . Click to expand... Huu wehu wako peleka Ufipa!
Erythrocyte said: kumshirikisha MUNGU KWA WATU KAMA HAWA NI SAWA NA KUPOTEZA MUDA . Click to expand... Huu wehu wako peleka Ufipa!
zambez JF-Expert Member Joined Dec 28, 2013 Posts 2,071 Reaction score 255 Jul 12, 2014 #48 More Tiz said: Hawana kazi za kufanya zaidi ya utalii wa ndani na nje ya nchi. Click to expand... Hii haifai watu wote hao wa nini km. 4.8 na taa mbili.....???!!!!!!!!!!!!!!!!!?????????!!!!
More Tiz said: Hawana kazi za kufanya zaidi ya utalii wa ndani na nje ya nchi. Click to expand... Hii haifai watu wote hao wa nini km. 4.8 na taa mbili.....???!!!!!!!!!!!!!!!!!?????????!!!!
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,631 Jul 12, 2014 #49 POMPO said: Magufuli kazi kutembea na wandishi wa habari taa za kuongozea barabarani nazo mpka uzinduzi? Km4.8 unaweka jiwe ka msing? Shame on u gambaz.! Click to expand... Si ndo JK anaenda Lushoto kuzindua Semina rooms?
POMPO said: Magufuli kazi kutembea na wandishi wa habari taa za kuongozea barabarani nazo mpka uzinduzi? Km4.8 unaweka jiwe ka msing? Shame on u gambaz.! Click to expand... Si ndo JK anaenda Lushoto kuzindua Semina rooms?
ROBERT MICHAEL JF-Expert Member Joined Oct 23, 2012 Posts 5,054 Reaction score 2,873 Jul 12, 2014 #50 Poleni sana majeruhi,jamani tuacheni utani huyu meneja wa Tanroad wa Dodoma alikuwa anafanya nini Manyoni au alikuwa anakaimu kwa mkoa wa Singida. Tukitaka kuendelea tuwe makini na matumizi ya rasilimali.
Poleni sana majeruhi,jamani tuacheni utani huyu meneja wa Tanroad wa Dodoma alikuwa anafanya nini Manyoni au alikuwa anakaimu kwa mkoa wa Singida. Tukitaka kuendelea tuwe makini na matumizi ya rasilimali.