my name is my name JF-Expert Member Joined Jan 12, 2015 Posts 2,016 Reaction score 2,402 Jun 4, 2015 #1 inashndwa kudownload nmefuta appl zote nlzodownload lakin bado inasema memor aitosh. msada
BansenBurner JF-Expert Member Joined Feb 16, 2015 Posts 6,809 Reaction score 5,779 Jun 4, 2015 #2 Bila shaka hyo ni tecno au itel
Mchiwa Ng'ambaku JF-Expert Member Joined Jan 24, 2015 Posts 959 Reaction score 803 Jun 4, 2015 #4 +Ungeuliza kwenye jukwaa lake husika sasa hivi ungekua ushapata majibu kitambo
Abou Saydou JF-Expert Member Joined Dec 1, 2014 Posts 2,948 Reaction score 2,112 Jun 4, 2015 #5 Mchiwa Ng'ambaku said: +Ungeuliza kwenye jukwaa lake husika sasa hivi ungekua ushapata majibu kitambo Click to expand... Bora umwambie fisi maji uyo kwanza azingatii kanuni za uandishi
Mchiwa Ng'ambaku said: +Ungeuliza kwenye jukwaa lake husika sasa hivi ungekua ushapata majibu kitambo Click to expand... Bora umwambie fisi maji uyo kwanza azingatii kanuni za uandishi
C Chinu Member Joined Jun 3, 2015 Posts 19 Reaction score 7 Jun 4, 2015 #6 Ingia kwenye application manage clear data
kunguni wa ulaya JF-Expert Member Joined Mar 16, 2014 Posts 4,131 Reaction score 6,125 Jun 4, 2015 #7 Ngoja moderators wakusaidie kuuhamisha huu uzi
Mchiwa Ng'ambaku JF-Expert Member Joined Jan 24, 2015 Posts 959 Reaction score 803 Jun 4, 2015 #8 Abou Saydou said: Bora umwambie fisi maji uyo kwanza azingatii kanuni za uandishi Click to expand... +Huyu jamaa sijui niaje alifungua uzi akasema watu wa hili jukwaa wamekaa kimbeambea sasa hivi anawauliza wamsaidie kasim kake ha haa haaa kavurugwa.
Abou Saydou said: Bora umwambie fisi maji uyo kwanza azingatii kanuni za uandishi Click to expand... +Huyu jamaa sijui niaje alifungua uzi akasema watu wa hili jukwaa wamekaa kimbeambea sasa hivi anawauliza wamsaidie kasim kake ha haa haaa kavurugwa.
Jerrymsigwa JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 14,084 Reaction score 8,400 Jun 4, 2015 #9 activist12 said: nunua iphone Click to expand... iPhone mchezo? Wabongo wengi zetu huwawei, tecno na other fake chinese fons
activist12 said: nunua iphone Click to expand... iPhone mchezo? Wabongo wengi zetu huwawei, tecno na other fake chinese fons
Abou Saydou JF-Expert Member Joined Dec 1, 2014 Posts 2,948 Reaction score 2,112 Jun 4, 2015 #10 Mchiwa Ng'ambaku said: +Huyu jamaa sijui niaje alifungua uzi akasema watu wa hili jukwaa wamekaa kimbeambea sasa hivi anawauliza wamsaidie kasim kake ha haa haaa kavurugwa. Click to expand... Hajielewi tu kanaonekana ni kadada
Mchiwa Ng'ambaku said: +Huyu jamaa sijui niaje alifungua uzi akasema watu wa hili jukwaa wamekaa kimbeambea sasa hivi anawauliza wamsaidie kasim kake ha haa haaa kavurugwa. Click to expand... Hajielewi tu kanaonekana ni kadada
appoh JF-Expert Member Joined Mar 14, 2013 Posts 5,825 Reaction score 3,092 Jun 4, 2015 #11 my name is my name said: inashndwa kudownload nmefuta appl zote nlzodownload lakin bado inasema memor aitosh. msada Click to expand... Kwenye app store imeset kila kitu kiingine kwenye simu badili na uweke kiingine kwenye memory na lazima ujue ubongo wa sinu yako una ukubwa gani ndio ujaze vitu kulingana na ubongo
my name is my name said: inashndwa kudownload nmefuta appl zote nlzodownload lakin bado inasema memor aitosh. msada Click to expand... Kwenye app store imeset kila kitu kiingine kwenye simu badili na uweke kiingine kwenye memory na lazima ujue ubongo wa sinu yako una ukubwa gani ndio ujaze vitu kulingana na ubongo
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,939 Reaction score 43,569 Jun 4, 2015 #12 my name is my name said: inashndwa kudownload nmefuta appl zote nlzodownload lakin bado inasema memor aitosh. msada Click to expand... appl..? nlzodownload? Uandishi wako mbovu umesababisha simu ishindwe kudownload..! Halafu hili si jukwaa lake au umesahau?
my name is my name said: inashndwa kudownload nmefuta appl zote nlzodownload lakin bado inasema memor aitosh. msada Click to expand... appl..? nlzodownload? Uandishi wako mbovu umesababisha simu ishindwe kudownload..! Halafu hili si jukwaa lake au umesahau?
my name is my name JF-Expert Member Joined Jan 12, 2015 Posts 2,016 Reaction score 2,402 Jun 5, 2015 Thread starter #13 asante kwa walio nsaidia
my name is my name JF-Expert Member Joined Jan 12, 2015 Posts 2,016 Reaction score 2,402 Jun 5, 2015 Thread starter #14 samaan natakiwa niweke jukwaa lip
my name is my name JF-Expert Member Joined Jan 12, 2015 Posts 2,016 Reaction score 2,402 Jun 5, 2015 Thread starter #15 kwan ili tatzo linausiana nn na sim. nway sio techo ni sony
LUBEDE JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 4,322 Reaction score 6,694 Jun 5, 2015 #16 Kuna mdogo wangu ana tatizo km hilo kwenye Sony yake,saidieni wakuu kama mnakashifu badala ya kutoa msaada..
Kuna mdogo wangu ana tatizo km hilo kwenye Sony yake,saidieni wakuu kama mnakashifu badala ya kutoa msaada..