Alexanda jozee
Member
- Sep 9, 2019
- 17
- 4
Wakuu msaada tafadhali..mimi nilichaguliwa saut mwanza mass comunication lakini hiyo ndo ilikuwa choice yangu ya mwisho..cha ajabu nimekuta tayari wamenisellect na kuconfirm..lakini nikitaka kureject haitaki na nikipiga simu saut hawataki kuniachia..hivyo nikaona niwaulize wanaJF msaada wa ushauri..je naweza kusubiri baadae nifanye transfer kwenda IFM nikasome taxation maana ninayo D ya math o-level....msaada wemu wakuu