Nyantundu Member Joined Nov 6, 2014 Posts 13 Reaction score 2 Nov 17, 2015 #1 Naomba kujua ni program gani inafaa kutumika katika kutafuta files kwenye pc tofauti na "Ava find" ??
Naomba kujua ni program gani inafaa kutumika katika kutafuta files kwenye pc tofauti na "Ava find" ??
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,062 Reaction score 43,489 Nov 17, 2015 #2 Nyantundu said: Naomba kujua ni program gani inafaa kutumika katika kutafuta files kwenye pc tofauti na "Ava find" ?? Click to expand... Why udownload program wakati pc yenyewe inauwezo wa kusearch mafile?
Nyantundu said: Naomba kujua ni program gani inafaa kutumika katika kutafuta files kwenye pc tofauti na "Ava find" ?? Click to expand... Why udownload program wakati pc yenyewe inauwezo wa kusearch mafile?
Nyantundu Member Joined Nov 6, 2014 Posts 13 Reaction score 2 Nov 18, 2015 Thread starter #3 Ni sawa pc ina uwezo huo lkn napenda kutumia njia tofauti na hii kama ava find. Lakini ava find sometimes inajitoa ninapo andika jina la file pia natumia window 8.
Ni sawa pc ina uwezo huo lkn napenda kutumia njia tofauti na hii kama ava find. Lakini ava find sometimes inajitoa ninapo andika jina la file pia natumia window 8.