Nitakuwa Dar Tarehe 12/11/2015_14/11/2015 anakaribisha wenye matatizo sugu ya maumivu ya kichwa ya muda mrefu kwangu mimi ni bure nitakuandikia dawa utanunua mwenyewe mimi nitakuutengenezea bure usikose kuwaambia wenzio wengi wamepona kwa uwezi WA M/mungu

Nitakuwepo aggrey na likoma mimi ni mpemba fyoko simaanishi kama wapemba hawawezi kuwamatapeli laa na wao niwanaadamu kama wengine
Nina Samsung galaxy note 4 ni mpya, ila ikiwekwa sim card baada ya lisaa sm inajizima na kujiwasha ni tatizo....mwenye kujua anipe suluhisho
Mkuu sim iko vizuri tu mteja tu alijikanganya alitaka kuirudisha sim maana alishindwa kununua, nimeweka cheap nimeitumia na mpaka sahv naitumia haifanyi hvyoNimewahi kua na tatizo hilo kwenye simu yangu ya Windows nikashauriwa na Chiefmkwawa nikafanikiwa kuiweka sawa.
Jaribu updtae simu yako, mi nilifanya hivo.