Pagejawapageja Member Joined Jan 11, 2013 Posts 63 Reaction score 16 May 15, 2015 #1 Heshima kwetu wakuu;Mimi nataka nunua gar aina ya X TRAIL ya mwaka 2005 kama gar yafamilia vp je aina hii ya gar inafaa naomba ushaur nisije juta jaman.Ahsanten sn.
Heshima kwetu wakuu;Mimi nataka nunua gar aina ya X TRAIL ya mwaka 2005 kama gar yafamilia vp je aina hii ya gar inafaa naomba ushaur nisije juta jaman.Ahsanten sn.
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,704 Reaction score 48,140 May 15, 2015 #2 Kama itakuwa kwenye hali nzuri chukua
G gamba2000 Member Joined Jun 25, 2012 Posts 10 Reaction score 6 May 15, 2015 #3 Ni gari zuri, mimi ninalo mwaka wa tatu sasa halina shida.