Mimi naitwa rehema Karim nina umri wa miaka 23 naombeni msaada natafuta kazi yoyote ya kufanya na elimu ya certificate ya journalism na naujuzi wa kutumia computer naombeni kazi nitafanya vinzuri naombeni kazi hata ya part time sasa ivi nipo dar es salaam