Habari zenu wana jamvini?
Naomba kuuliza je ni simu zote zenye kutumia windows haziruhusu huduma kama za mpesa, sim banking au ni simu yangu tu?
Na kama ni zote haziruhusu ni kwanini?
Tafadhali naomba kujuzwa!

Ni baadhi tu ya hizo window phones ndio huwa hazikubali hiyo huduma ila kuna zingine zinakubali.
Kwa msaada zaidi cheki na CHIEF MKWAWA maana yeye ndie accredited expert wa Nokia kwa Jf