Msaada

Zegenyege

Member
Joined
May 26, 2022
Posts
15
Reaction score
21
Nina tv yangu lg inch 55 smart Ina
shida ya kioo,kama kuna mtu anaweza kunisaidia naomba tuwasiliane
 
kioo kimevunjika au ! .kama akijavunjika kinaonyesha kama marangi rangi jalibu kuonana na mafundi kubafili T-coin card .

ila kama kioo kimekwenda na maji umevunja,nunua tv nyengine maana TV ni kioo kuliko motherboard .
matherboard unaweza kupata kuliko kioo
 

Shukrani mkuu kinaonyesha lakini kinakuwa kinaonyesha marangi rangi ambayo wakati mwingine hukata na kuonyesha vizuri bila shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…