M mwambene Member Jul 16, 2011 5 0 Sep 22, 2011 #1 Nawaomba wenazangu tuliochaguliwa chuo kikuu cha bagamoyo kwa kozi ya education hasa wale wa awamu ya pili ninaomba sana tuwasiliane kwa namba 0782495588 au 0767495589 na 0714495588. Ili tuweze fanya mazungumzo ya pamoja. Ni muhimu sana.
Nawaomba wenazangu tuliochaguliwa chuo kikuu cha bagamoyo kwa kozi ya education hasa wale wa awamu ya pili ninaomba sana tuwasiliane kwa namba 0782495588 au 0767495589 na 0714495588. Ili tuweze fanya mazungumzo ya pamoja. Ni muhimu sana.
Perry JF-Expert Member Feb 24, 2011 10,043 2,000 Sep 22, 2011 #2 Mazungumzo gan hayo,ebu yaweke hapa kwa manufaa ya umma,mcje mkawa mwataka kumuua jk bure?