msaada

maselo abdul

New Member
Joined
Mar 23, 2015
Posts
3
Reaction score
0
  1. jamani tafadhali mwenye movie ya kanumba moses 1 & 2 naomba antumie tafadhal​
 
Enzi hizo Bongo movie haijavamiwa na kina steve nyerere (kihereherw kilikuwa mfukoni bado) nakumbuka hii ndio movie niliangalia usiku ule na alfajiri ikatolewa taarifa jamaa kavuta. Sikuwahi tena kukaa naangalia vipande vya meseji kutoka kwakina wema na wenzake. Yaani hata aibu hawaoni wanakopi vile vi memes halafu wanatengeneza movie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…