Hlw
Naomba msaada wa kujua jinsi ya kupata vyuo vya afya vya selikali, Diploma in nursing, dada yangu alimaliza form six mwaka jana na kupata divion three 15-CBG. Mwaka jana ameomba awamu mbili kupitia nacte(online) alikosa tukajua amechelewa, mwaka huu mwez wa5 post zilivotoka tu akaomba tena kwa kwenda vyuoni kabisa mfn Kibaha, tanga school of nursing,lakini bado amekosa. Nacte juz wametoa tena tangazo la post awamu ya pili. Anataka kuomba tena wasiwasi ni kukosa tena . Naombeni msaada ndugu wana Jf njia zipi za kupitia ili apate kwa vyuo vya selikali. PRIVATE UCHUMI WETU MDOGO.Mana sisi ni wakulima