wakuu naombeni mnisaidie tofauti kati ya chuo cha wanyamaa pori mweka na chuo cha wanyam pori pasiansi na kwanin mweka ada yao ni kubwa sna? Msaada wenu wakuu
Ingia Google kwa chuo cha mweka na kisha chuo cha pasiansi. www.pasiansiwildlife.com www.mwekawildlife.com
Lamwisho, acha kuwa mzembe maana sio kila jambo ni lakuuliza wakati una sim ya kisasa yenye kuweza kukufungulia dunia kiganjani mwako

Nenda mweka bila kujali ada kubwa,alaf iyo ada ina cover vitu vyote hadi accommodation na meal,ukisoma pansiansi unaenda tena kuanza mweka basic certificate.