Krn Member Joined Jun 28, 2019 Posts 21 Reaction score 5 Jul 18, 2019 #1 Nimemalza form six na kupata two ya 11 katk masomo ya arts History D geo D kiswhl C nlkuwa napenda kusoma sheria lakn naskia sheria wanachukua hgl na hkl na umri wa miaka 25 , IPI kozi itakayonifaa tofaut na sheria
Nimemalza form six na kupata two ya 11 katk masomo ya arts History D geo D kiswhl C nlkuwa napenda kusoma sheria lakn naskia sheria wanachukua hgl na hkl na umri wa miaka 25 , IPI kozi itakayonifaa tofaut na sheria
dtj JF-Expert Member Joined Nov 29, 2014 Posts 1,335 Reaction score 1,389 Jul 18, 2019 #2 Mkuu miaka 25 unafanyia kazi maneno ya kuambiwa? 25 Years? Nakushauri soma TCU Guide Book kuna kila options ni wewe na unachotaka. Maneno ya kuambiwa changanya na yako.
Mkuu miaka 25 unafanyia kazi maneno ya kuambiwa? 25 Years? Nakushauri soma TCU Guide Book kuna kila options ni wewe na unachotaka. Maneno ya kuambiwa changanya na yako.
Krn Member Joined Jun 28, 2019 Posts 21 Reaction score 5 Jul 18, 2019 Thread starter #3 Shukuran sana
geniusMe JF-Expert Member Joined Jan 27, 2018 Posts 1,312 Reaction score 1,786 Jul 18, 2019 #4 heria inabidi uweumepata div one hapo utahangaika ndugu.