Kunauzi flani kunamtabibu mmoja alikua anahitaji maswali unapewa majibu yako papo hapo kama utaweza kuutafuta jaribu Yuko vyema sanaSante
Ngoja namimi niupekua pekueI wish nimpate nisaidie kunitag ukiupata wakati napeluzi kuutafuta,asante mkuu
Sababu/tiba ya maumivu makali ziwa la kushoto ni yapi??
Nikweli nilitaka kurudi kuongea hichi shukrani kwakufika kwakoPole, ziwa linaumaje? Ukilifinya lina any sign ya uvimbe?
Nashauri, nenda hosp haraka wakaangalie kama utakuwa na dalili ya kansa, (kama ni cancer ni rahisi kuitibu ikiwa ktk stage za awali, ikichachamaa itabidi kukatwa ziwa au kupelekwa India) wahi hosp mapema.
Nikweli nilitaka kurudi kuongea hichi shukrani kwakufika kwako
Pole, ziwa linaumaje? Ukilifinya lina any sign ya uvimbe?
Nashauri, nenda hosp haraka wakaangalie kama utakuwa na dalili ya kansa, (kama ni cancer ni rahisi kuitibu ikiwa ktk stage za awali, ikichachamaa itabidi kukatwa ziwa au kupelekwa India) wahi hosp mapema.
Nikweli mkuu ajitahidi kwenda Hosp kubwa kidog hawachelewi kuingia zahanati yakijiji ukakuta nesi amekata ziwa ndo anaenda nalo labSure, maumivu si dalili njema na ni vzr akaenda kwa uchunguzi zaid pasi kuchelewa. Namshauri pia aende hosp kubwa mf ya wilaya sio zahanati!
Eleza tu kuwa:Kujieleza ni kipaji mkuu unaweza nisaidia kuuliza unapoona pamepungua inaweza nisaidia kupata mwanga pakujazia,asante
Sababu/tiba ya maumivu makali ziwa la kushoto ni yapi??
Eleza tu kuwa:
linauma umaje?
Wakati gani, saa ngapi?
Una ujauzito/umejifungua siku za karibuni/
Mtoto anaponyonya/ hanyonyi
Wakati wa siku zako
Huna dalili hizo hapo juu ila unayasikia maumivu makali unapoenda kuoga
Kama uli do siku za karibuni bila ndom ujue hiyo ni dalili ya kitu inaitwa ectopreg. Mimba nje ya mfuko wa uzazi.Linauma niligusa au kujigusa na kitu maumivu nayaskia mpaka kwa ndani kutokea katikati ya kifua ,maumivu yameanza siku ya nne leo ingawa yamekua makali kwanzia jana usiku mpaka leo,sina ujauzito sijawai kuzaa na wala sinyonyeshi ingawa nimenotice mabadiliko ya siku zangu kawaida naenda siku 25-28 ila hii imesogea mpk 32 na zimetoka siku 2 tu kitu ambacho sio kawaida pia