gamaweshi belo
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 453
- 173
Nimenunua samsung full HD TV na hivyo ndivyo inavyokuwa screen ikiwa blank, je hilo ni tatizo la kuhofia au ndio kawaida sijawahi kutumia Samsung kabla.
Tafuta picha ambayo ni full black, weka kwenye flash ,.uiplay kwenye tv then kama hayo mawingu yatakuwepo basi ni tatizoNimenunua samsung full HD TV na hivyo ndivyo inavyokuwa screen ikiwa blank, je hilo ni tatizo la kuhofia au ndio kawaida sijawahi kutumia Samsung kabla.View attachment 1099938View attachment 1099939
Sawa ngoja nijaribuTafuta picha ambayo ni full black, weka kwenye flash ,.uiplay kwenye tv then kama hayo mawingu yatakuwepo basi ni tatizo