Msaada

Rajesi

Member
Joined
Apr 18, 2017
Posts
29
Reaction score
13
Wadau nauliza ada yakusoma certificate of law pale ruaha University ni kiasi gani?

Hata vyuo vingine pia

Na course nzuri Kati ya medical laboratory na law ipi ambayo ipo marketable

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...Ada ni 800k, chuo kipo vizuri sana mazingira, lecture wengi wao ni majaji wa staafu, kuhusu ubora wa course its depends na mtu mwenyewe although Lwa ni realible course na pia ni pana kwa maana ya kujiajiri au kuajira rather than hiyo course nyingine,, pia kusoma sheria sio lazima uwe mwanasheria kwa sababu its wide course mimi pia nataka nijiunge pale CLW , FOR MORE INFORMATION CALL ME 0627504773
 
Kama unaweza kusoma Medical Lab basi nakushauri usome Nursing
Wadau nauliza ada yakusoma certificate of law pale ruaha University ni kiasi gani?

Hata vyuo vingine pia

Na course nzuri Kati ya medical laboratory na law ipi ambayo ipo marketable

Sent using Jamii Forums mobile app

Ngobekezela NKOSI Ngobekezela
 
SHULE YA SEKONDARI MAURICE inawatangazia wazazi na walezi wote kwamba tunapokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2019, nafasi za kuamia kidato cha kwanza na cha pili pia tuna kituo cha mitihani kwa watahiniwa wa kujitegemea na Q.T. Vile vile pia tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa michepuo ya ECA, HGE, HGK, HKL na HGL. ADA ni nafuu sana. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Dar es salaam wilaya ya temeke, eneo LA mbande kisewe. Simu 0785907371. Wote munakaribishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…