Eshacky JF-Expert Member Joined Apr 26, 2011 Posts 965 Reaction score 252 Jul 16, 2011 #1 Wakuu, natumai wazima wa afya! Mi ni mkazi wa jimbo la ubungo, kuna tatizo limejitokeza, hvyo nahitaji kuwasiliana mhe. mbunge wangu, nilikuwa naomba msaada wa namba ya simu ya mhe.John mnyika.Nawasilisha.
Wakuu, natumai wazima wa afya! Mi ni mkazi wa jimbo la ubungo, kuna tatizo limejitokeza, hvyo nahitaji kuwasiliana mhe. mbunge wangu, nilikuwa naomba msaada wa namba ya simu ya mhe.John mnyika.Nawasilisha.