Sawa mkuu ila cpo nayo interest kwa hyo hata nkfanya vzur bado ntakuwa c pend tuMkuu MD sio rahis kama unavyodhani wewe unaonekana kabisa science sio mambo yako kama kaka yako nakushauri kasomee biashara au uchumi utaweza fanya vizuri chuo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hata Kama Ungekuwa Na C C B Kwa M.D Ungesumbuka Tu, Najua Kipendacho Roho.... We Rudia Yote Upate B B B Angalau, Mbali Na Hapo Utakuwa Daktari Uchwara,Sawa mkuu ila cpo nayo interest kwa hyo hata nkfanya vzur bado ntakuwa c pend tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana kwa msaada wako nduguuKama unahisi ndoto yako kwa namna yoyote ni kuwa daktari au katika sekta ya afya una options kadhaa
Unaweza kurisit kwa ilo somo ila bado itakua ngumu kupata chuo kwa level ya degree kutokana na ushindani(japo uwezi jua miujiza huwa inatokea kama unaamini)
Option nyingine ni kusoma level ya chini kama diploma au cheti na baadaye kuendelea(hutaona safari ni ndefu kama unapenda).
Na ya mwisho ni kuchagua kozi nyingine ya afya unayoweza kuwa interested nayo coz unaweza kufanikiwa kupata admission kwa matokeo hayo.
Daahh!! Mzk wa yote cyo mchezo kk ila nitajita idi kkHata Kama Ungekuwa Na C C B Kwa M.D Ungesumbuka Tu, Najua Kipendacho Roho.... We Rudia Yote Upate B B B Angalau, Mbali Na Hapo Utakuwa Daktari Uchwara,
Sawa ila hivi nikitafuta chuo uganda kwa hayo matokeo nitakosa hasa chuo cha makerereTafuta kitu kingine Cha kusoma nje na MD
Utarudia mtihani ndio lkn mwisho wa siku utapoteza muda wako na MD hutapata
Kama una Nia ya dhati kweli na MD anzia ngazi ya diploma au rudia masomo yote na upate ufaulu kuanzia B kupanda juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmh..sijui .Ngoja waje wajuziSawa ila hivi nikitafuta chuo uganda kwa hayo matokeo nitakosa hasa chuo cha makerere
Sent using Jamii Forums mobile app