Msaada

Mchepuko1

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2018
Posts
215
Reaction score
103
Mwenye uelewa wa jinsi ya kubadili kozi anisaidie.nimesoma hgk Nataka nishift kutoka bachelor of arts in archeology kwenda bachelor of arts in library and information studies nipo udsm mwaka wa kwanza
 
Nenda admission office ukaulize Kuna utaratibu wote na watakuelekeza Kila kitu, wahi kabla semester haijaisha
 
Huwa unachukua mda gani kujibiwa na unajibiwa kwa njia ipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…