Msaada

GOLDEN FRANX

New Member
Joined
Oct 27, 2018
Posts
3
Reaction score
0
Mi nimemaliza diploma in early childhood care and education lakini nimeomba bachelor of education in early childhood nna gpa ya 4.6 wamenichagua bachelor of education in adult and community education ambalo c chaguo langu pale wameniandkia bellow competition line ikiwa ni awamu ya pili nimechaguliwa lakn mwenzang mwenye gpa ya 4.4 amechaguliwa course hiyo tuloomba wote tena 4th round nashndwa tatizo nn.... af ningependa kusaidiwa hao wa bellow competition line wenyewe wanaweza kuomba kubadilishiwa course ikawezekana???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…