Jamani habari ya loan allocation ndio kusema kwamba mchanganuo utajulikana ukifika chuo au heslb watatuma kwenye account za applicants. Mwenye taarifa tafadhali tujuze au hata kama kuna loan officer humu anaweza habarisha umma kinachoendelea