Mchepuko1 JF-Expert Member Joined Sep 18, 2018 Posts 215 Reaction score 103 Oct 14, 2018 #1 Deki haitoi rangi kwenye picha tatizo ni nini hasa
C Ctech JF-Expert Member Joined Nov 21, 2010 Posts 447 Reaction score 829 Oct 14, 2018 #2 Elezea vizuri, Mnashindwa kusaidika kwa Maelezo Hafifu!
Mchepuko1 JF-Expert Member Joined Sep 18, 2018 Posts 215 Reaction score 103 Oct 14, 2018 Thread starter #3 Santana said: Elezea vizuri, Mnashindwa kusaidika kwa Maelezo Hafifu! Click to expand... Nyumbani hapa kuna deki aina ya singsung tatizo ni kwamba ukiwa unaangalia mfano muvi picha inakuwa kama rangi nyeupi tu yaani haitoi rangi ya picha vizuri inabaki unaangalia muvi bila mwonekani wa rangi
Santana said: Elezea vizuri, Mnashindwa kusaidika kwa Maelezo Hafifu! Click to expand... Nyumbani hapa kuna deki aina ya singsung tatizo ni kwamba ukiwa unaangalia mfano muvi picha inakuwa kama rangi nyeupi tu yaani haitoi rangi ya picha vizuri inabaki unaangalia muvi bila mwonekani wa rangi