davie_ki_boyfriend
Member
- Jul 16, 2015
- 7
- 4
Naombeni msaada siku ya kulipoti chuo cha udsm,
Naombeni msaada siku ya kulipoti chuo cha udsm,

haya maswali mengine huwa siyaelewi, hivi huwezi kuingia kwa website yao ukatafuta pia kama unasoma hapo hujuw ratiba ya hapo, au kama umechaguliwa hapo huna form ya maelekezo???Naombeni msaada siku ya kulipoti chuo cha udsm,
labda lengo lake ni kutujulisha kuwa yeye kapata udsm, ila kaona aiwasilishe kwa mtindo huo, isionekane anatambia wengine!!!Yaani siku hizi kweli hatuzipi akili zetu mazoezi
Ivi kama umechaguliwa hapo wakati unasoma hilo tangazo la majina,hao wenye kutoa tangazo wanaweka na tarehe ya kuripoti chuo
Hii mizigo ya kutoelewa hii hata huko chuo mtasumbua sana