jamani naombeni msada sehemu ya kusoma cd kwenye pc yangu imepotea ghafla tu ata kwenye driver nikiangalia haiko cjui nn tatizo ila mlango unafunguka na kufunga bila matatizo