Emmathias JF-Expert Member Joined Jan 22, 2018 Posts 681 Reaction score 970 Sep 5, 2018 #1 Mdogo wangu kapokea codes za Ku-comform Sasa Hivi, swali je Anaanzia wapi kuingia Kwenye hiyo confirmation? Sent using Jamii Forums mobile app
Mdogo wangu kapokea codes za Ku-comform Sasa Hivi, swali je Anaanzia wapi kuingia Kwenye hiyo confirmation? Sent using Jamii Forums mobile app
MAHENGE JR JF-Expert Member Joined Jun 1, 2014 Posts 497 Reaction score 637 Sep 5, 2018 #2 Write your reply...haya ngoja waje wakujibu..
Blank page JF-Expert Member Joined May 28, 2015 Posts 6,198 Reaction score 6,393 Sep 5, 2018 #3 anatakiwa,kulog..in,katika,akaunti..yake,ya..chuo,anachowish..kusoma,atakuta..sehemu,ya..confirmation.
anatakiwa,kulog..in,katika,akaunti..yake,ya..chuo,anachowish..kusoma,atakuta..sehemu,ya..confirmation.
Zehoes JF-Expert Member Joined Jan 10, 2015 Posts 512 Reaction score 352 Sep 5, 2018 #4 Emmathias said: Mdogo wangu kapokea codes za Ku-comform Sasa Hivi, swali je Anaanzia wapi kuingia Kwenye hiyo confirmation? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Unatakiwa ulog in kwenye account uliyotegeneza wakati unafanya maombi....huko utakuta maelekezo yote Sent using Jamii Forums mobile app
Emmathias said: Mdogo wangu kapokea codes za Ku-comform Sasa Hivi, swali je Anaanzia wapi kuingia Kwenye hiyo confirmation? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Unatakiwa ulog in kwenye account uliyotegeneza wakati unafanya maombi....huko utakuta maelekezo yote Sent using Jamii Forums mobile app
G guest-1793747943 Guest Sep 6, 2018 #5 Mnatia aibu kweli wasomi wa chuo kikuu mnashindwa maswala ya Confirmation kwenye mtandao mnajua kutumia Facebook na instagram tu mtafeli sana
Mnatia aibu kweli wasomi wa chuo kikuu mnashindwa maswala ya Confirmation kwenye mtandao mnajua kutumia Facebook na instagram tu mtafeli sana
mind bringer Senior Member Joined Oct 19, 2017 Posts 170 Reaction score 51 Sep 6, 2018 #6 geniusMe said: Mnatia aibu kweli wasomi wa chuo kikuu mnashindwa maswala ya Confirmation kwenye mtandao mnajua kutumia Facebook na instagram tu mtafeli sana Click to expand... wakitumiwa email ku-confrm za fb,instagram,twitter hawaulizi but ku-confrm chuo wanataka help hatarr!!!!
geniusMe said: Mnatia aibu kweli wasomi wa chuo kikuu mnashindwa maswala ya Confirmation kwenye mtandao mnajua kutumia Facebook na instagram tu mtafeli sana Click to expand... wakitumiwa email ku-confrm za fb,instagram,twitter hawaulizi but ku-confrm chuo wanataka help hatarr!!!!